Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It means skilled kenyans choose to work in tz, they get paid well companies grow au ukichukulia mfano wa NBC, they play earn nice salaries teams grow and they command heavy sponsorship for example sportpesa pays yanga every year, likewise for betway etc beause your taking all skilled kenyans to work for you

Halafu Remmitances is a burden kwa serikali yao ya huko Kenya. Wakenya waliopo Tanzania watalazimika kufanya kazi mara mbili na kutafuta Ksh liquidity in Tanzania kwaajili ya kubadili Tsh kwenda Ksh.

Tanzania haina liability yoyote kwenye hizo Pesa zinazotoka kwenye Tsh kwenda Ksh kwaajili ya wakenya zaidi ya kuvuna faida na kubaki na hizo Tsh.

Ngoja nikupatie namna inavyofanyika.

Mfano Mkenya Worker in Tanzania anataka kutuma Tsh 10m kwenda kwa ndugu zake kenya.
1. Atatakiwa awe na zaidi ya 10m kwenye balance yake.
2. Kuna huyo mtu wa katikati abaye kazi yake ni kutuma pesa kwenda kenya kuwa Tsh. Hapa kitu gani kinafanyika.
Huyo mtu anayetuma Pesa Kutoka Tsh kwenda Ksh lazima awe na Ksh (Inventory ya Ksh) anapokea Tsh na anatuma Ksh.
So wakenya waliopo Tanzania watatakiwa kuhakikisha invenotry ya KSh haikauki itawaka eidha wanunu share kutunisha Invetory hiyo ambayo ipo Tanzania.

3. Mtu huyo anayetuma atapokea hiyo 10m na kuibakiza kwenye mzunguko wa pesa Tanzania. Yaani ataihamisha kutoka kwa mkenya. Kisha atatuma Ksh kwenda Kenya. Kumbuka huyu ni mfanya biashara lazima atahitaji faida. Kwahiyo atapokea zaidi ya Tsh 10m kutoka kwa mkenya.

4. Kwasababu hiyo ni biashara TRA na watahitaji kodi yao hapo na anayelipa hiyo kodi ni mkenya anayefanya kazi Tanzania.

NB: Liability ya ku keep Inventory ya Ksh kuwa kubwa si ya watanzania ni ya wakenya. Itawabidi wakenya wafanya kazi kwa nguvu sana na kuwekeza kwa mtu anayetuma remittance nyumbani kwao.

Mwisho. Hizo pesa zitaenda kenya kisha zitarudi tena Tanzania kwenye Inventory ya Ksh. Huku Tanzania zitakuwa zinazalisha faida, lakini kutoka kenya zitakuja kutunisha mfuko huku mkenya akiwa anasubiri shares zipande ili auze.

Inshort Kenya itaanza kuisha kidogo kidogo kupitia remittances zinazotumwa kwao
 
Nchi ya kufukuza Waburundi! Ngoja wajaribu kutufukuza waone mbichi na mbivu!
wanakuaga wapole wakiongea kuhusu bongo, wanajua kabisa wakija apa wakileta vurugu wanapitishwa kwanza ile chemba ya kichapo alafu ndo wanarudishwa 🤣 🤣 🤣 alafu wabunge hua wanawadharau sana viongozi wa kenya
 
hizi sasa ndo boxes
1790158429365.png

1790158448218.png




hawa mafala wa sewage walipigwa

View: https://www.facebook.com/nyeridaiynewspaper/posts/talanta-stadiums-sky-boxes-nearing-completion/3321083794767897/
 
Ukiwa millionaire kuna opportunity everywhere. Unaongelea foreigners ambao wana hela nyingi tayari kuwa wakienda nchi masikini wanafanikiwa. Hela yao ni kidogo walipotoka lakini wakienda nchi masikini inatosha kujenga high rise hotel ndio maana wanafanikiwa
Now let's speak about average citizens of Kenya and Tanzania who can't just build a hotel from nowhere. Unapokuja kwenye hii class ndio Tanzania inapowaacha Wakenya. Hakuna cha kufanya huko Kenya ndio maana watu wenu wana maisha magumu. Hata Watanzania waliokuja Kenya nahisi wanajuta
Watanzania wengi wanajiajiri na kufanikiwa hapahapa Tanzania, na sasahivi Wakenya mmeshajua maisha ya Tz yalivyo mazuri mmeanza kujazana huku. Tanzania ina opportunities kwa average citizens kuliko Kenya. Kenya wanaoenjoy life ni millionaires, ila huku chini watu wenu wanahangaika tu
Hivi imagine mtu anayeishi kaunti kama Mandera, Marsabit, Turkana au Wajir. Huko hata kula tu ni shida, let alone kutafuta business opportunities
Na Kenya ni Nairobi tu. Ukisikia mtu anaenda Kenya ujue anaenda Nairobi ndio only place mmefocus kujenga na still hiyo Nairobi bado imejaa slums, watu wenu wanateseka. Nje ya Nairobi miji yenu mingine imepoa. Shughuli za biashara kwa wananchi wa kawaida ziko chini ukifananisha na mikoa ya Tanzania. Kwa nini watu wenu wasije Tanzania. Kenya ni ardhi ya mateso, just let your people come to Tanzania at least waishi vizuri for once in their lives
Can you read English? I didn't say millionaires move from rich countries to poor countries, I said people from richer countries come to poorer countries and become millionaires all the time. The fact that you can't understand such a simple context disqualifies you from earning my attention. I am not reading the rest of your hogwash.
 
Halafu utawasikia hawa mbwa humu wanasema tunawachukia si tungewapunguza warudi kwao?
There are 26,300 Kenyans in Tanzania.
There are 32,860 Tanzanians in Kenya.
You migrate to our country more than we migrate to yours but we make more money in your country than you make in ours. The difference is the kind of things our migrants do in your country and your migrants do in ours. You are lazy, unskilled and uneducated. We are smart, hardworking and educated. We come to farm, do business and work professional jobs such as engineering, teaching et al. You come to beg, sell second hand clothes, engage in small business and do low quality jobs such as house maids, watchmen et al.
Screenshot 2026-09-23 133028.png
 
There are 26,300 Kenyans in Tanzania.
There are 32,860 Tanzanians in Kenya.
You migrate to our country more than we migrate to yours but we make more money in your country than you make in ours. The difference is the kind of things our migrants do in your country and your migrants do in ours. You are lazy, unskilled and uneducated. We are smart, hardworking and educated. We come to farm, do business and work professional jobs such as engineering, teaching et al. You come to beg, sell second hand clothes, engage in small business and do low quality jobs such as house maids, watchmen et al.
View attachment 3676361
Unavyofanania na hizi statements unazozitaja ni vitu vya kuchekesha sana. 😂😂😂😂. Mkenya mfanya kazi Tz ni yule muajiriwa wa kampuni za kenya au shule za msingi za English medium hapa Bongo. Sasa sijui huo u genius unaotueleza unatoka wapi.
 
Unavyofanania na hizi statements unazozitaja ni vitu vya kuchekesha sana. 😂😂😂😂. Mkenya mfanya kazi Tz ni yule muajiriwa wa kampuni za kenya au shule za msingi za English medium hapa Bongo. Sasa sijui huo u genius unaotueleza unatoka wapi.
That's still better than a begger, a househelp or a mitumba dealer. That's what your people do here and that's why their remittances to bongoland are low.
 
Back
Top Bottom