Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There are opportunities in every country. What matters is you. People from richer countries come to poorer countries and become millionaires all the time. It just shows you people are not go getters.
Unazungusha zungusha maneeno ili upate nafuu. The fact is Tz ni majuu yenu, sahii ni bora mkuje Tz kusaka do kuliko kwenda Gulf, wenzako kibao huku wanafanya vimishe vya kipuuzi hapo Kariakoo na vimtaji vyao vya maembe. Tz ni china na America yenu. Hilo suala lipo wazi, mnakuja kujumua huku kwenda kuuza kwenu huko kwa wanuka nnya jobless.
 
😂😂 Wakenya mmeflood nchi yetu sana. Waambieni na wenzenu waje, maisha yapo huku
Kubaki Kenya ni kufa na njaa tu. Unabaki vipi Kenya na Tanzania ipo
View attachment 3676134View attachment 3676135
Nilitaka niielezee vizuri sana issue ya remittances zinazopelekwa kutoka Tanzania kwenda Kenya.

Maelezo yangu haya yatakupa picha kwanini kwasasa NMB na CRDB zimezipita Kenya in Terms of Capitalization.

Let say. A Kanyan Works in Tanzania Earn Tsh 10,000,000. Hizo pesa zitakuwa kwenye Local Account ya Tanzania.
Hiyo pesa anaweza kuitumia kwa Kununua vitu Tanzania (Expenditure au Assets) kwahiy pesa ya Tanzania inakuwa kwenye mzunguko.

Lakini akiamua sasa kuituma kwa ndugu zake kenya (Ndio tunakuja kwenye cross border Transaction and settlment)

Kazi ya pesa ni Ku buy Goods and Services but remittance neither goods nor service.
So kabla haijatoka kwenye Tsh kwenda Kenya Ksh must be spent.

Hapo ndipo inakuja CRDB na bank zingine kutoa service hii. Soma hapa

CRDB, Do not own Ksh inakuwa registered DSE ili watu waweze kununua share. Ili wakenya waweze kupata remittance kuwasaidia ndugu zao huko they must introduce Ksh account CRDB na hizo pesa wanaziingiza huko kwa ku buy share DSE. Zaidi ya wakenya 250,000 wanaoishi Tanzania watalazimika kununua share ili kutunisha mfuko wa settlement pesa ziwafikie ndugu zao.

So a person (In Bankend) who want to send money in Kenya must buy Crossborder-remittance na pesa za settlement zitakuwa tayari zimepatikana kupitia DSE shares.

So wakati ananunua Crossborder-remittance pesa inakuwa spent in Tanzania na TRA wanakata chao.
So ikisafirishwa kutoka Tanzania kwenda kenya itakua ni takataka tu kwetu maana tayari tumeshaitumia.

So who benefit from remittance sent to Kenya, je Ni Tanzania or Kenya?
Kwa kenya mtu mmoja mmoja atafaidika kwa kupata revenue, but huku Tanzania tunafaidika kwa investment and expenditure ya whole remittance
 
It means skilled kenyans choose to work in tz, they get paid well companies grow au ukichukulia mfano wa NBC, they play earn nice salaries teams grow and they command heavy sponsorship for example sportpesa pays yanga every year, likewise for betway etc beause your taking all skilled kenyans to work for you
 
Meaning Tanzania has more opportunities than Kenya.
Kama Watanzania waliopo Kenya sio successful it means Kenya hakuna maisha mazuri. Kuna maisha magumu and that explains why millions of your very own citizens suffer from hunger each year. Kenya is such a bad place to build your life

Ndio maana Watanzania wanabaki Tanzania kutafuta maisha mazuri. It's because we are surrounded with shithole countries
It just means Kenyans are more entrepreneurial and have more disposable income.
The richer the country, the more its business people expand outside the borders.
 
Timu ya wapi hii?
si ni harambee loosers
1790155687333.png
 
It means skilled kenyans choose to work in tz, they get paid well companies grow au ukichukulia mfano wa NBC, they play earn nice salaries teams grow and they command heavy sponsorship for example sportpesa pays yanga every year, likewise for betway etc beause your taking all skilled kenyans to work for you

Halafu Remmitances is a burden kwa serikali yao ya huko Kenya. Wakenya waliopo Tanzania watalazimika kufanya kazi mara mbili na kutafuta Ksh liquidity in Tanzania kwaajili ya kubadili Tsh kwenda Ksh.

Tanzania haina liability yoyote kwenye hizo Pesa zinazotoka kwenye Tsh kwenda Ksh kwaajili ya wakenya zaidi ya kuvuna faida na kubaki na hizo Tsh.

Ngoja nikupatie namna inavyofanyika.

Mfano Mkenya Worker in Tanzania anataka kutuma Tsh 10m kwenda kwa ndugu zake kenya.
1. Atatakiwa awe na zaidi ya 10m kwenye balance yake.
2. Kuna huyo mtu wa katikati abaye kazi yake ni kutuma pesa kwenda kenya kuwa Tsh. Hapa kitu gani kinafanyika.
Huyo mtu anayetuma Pesa Kutoka Tsh kwenda Ksh lazima awe na Ksh (Inventory ya Ksh) anapokea Tsh na anatuma Ksh.
So wakenya waliopo Tanzania watatakiwa kuhakikisha invenotry ya KSh haikauki itawaka eidha wanunu share kutunisha Invetory hiyo ambayo ipo Tanzania.

3. Mtu huyo anayetuma atapokea hiyo 10m na kuibakiza kwenye mzunguko wa pesa Tanzania. Yaani ataihamisha kutoka kwa mkenya. Kisha atatuma Ksh kwenda Kenya. Kumbuka huyu ni mfanya biashara lazima atahitaji faida. Kwahiyo atapokea zaidi ya Tsh 10m kutoka kwa mkenya.

4. Kwasababu hiyo ni biashara TRA na watahitaji kodi yao hapo na anayelipa hiyo kodi ni mkenya anayefanya kazi Tanzania.

NB: Liability ya ku keep Inventory ya Ksh kuwa kubwa si ya watanzania ni ya wakenya. Itawabidi wakenya wafanya kazi kwa nguvu sana na kuwekeza kwa mtu anayetuma remittance nyumbani kwao.

Mwisho. Hizo pesa zitaenda kenya kisha zitarudi tena Tanzania kwenye Inventory ya Ksh. Huku Tanzania zitakuwa zinazalisha faida, lakini kutoka kenya zitakuja kutunisha mfuko huku mkenya akiwa anasubiri shares zipande ili auze.

Inshort Kenya itaanza kuisha kidogo kidogo kupitia remittances zinazotumwa kwao
 
Nchi ya kufukuza Waburundi! Ngoja wajaribu kutufukuza waone mbichi na mbivu!
wanakuaga wapole wakiongea kuhusu bongo, wanajua kabisa wakija apa wakileta vurugu wanapitishwa kwanza ile chemba ya kichapo alafu ndo wanarudishwa 🤣 🤣 🤣 alafu wabunge hua wanawadharau sana viongozi wa kenya
 
Back
Top Bottom