Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwan wakati unareply the start ulikua hujaona source, infact na apo bado that passport cant even allow you to bypass sudan am sure by next year it will be the last globally 🤣 🤣 BTW that passport is so stupid that its owned officially with terrorists 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
In short huna souce 🤣🤣🤣
 
No responsibility at all.
Ndio maana haitawahi kubadilika.
Wenzako wanauliwa kila siku ila your best response ni “propaganda” wueh! You guys have a long way to go.
Ndio hii propaganda ingine

View: https://x.com/siasamaisha2030/status/2101712437288534407?s=46

Source kwa vijana wanaoeneza uongo na kutaka kuleta taharuki Nchini. Kila mtu anawajua hao wanalipwa kuichafua Tanzania

1789976336291.png
 
Size ya Nairobi City ni ndogo sana. Inafanana na Dodoma kwa huku Tanzania
Nairobi City ni 696km² na Dodoma City ni 625km². Tofauti si kubwa sana ndio maana hao wananchi wanatembea kwa miguu.

Imagine kutoka Kibera slums hadi CBD ni 7km, na Wakenya walivyo masikini huu umbali wanatembea tu kwenda na kurudi kuliko kupanda BRT. Oops, nilisahau nchi nzima hakuna BRT 😂😂
Dodoma CBD to Magufuli City alone ni 23km hapo utakuwa umetoka nje ya Naipori muda mrefu sana. Dodoma is a modern city usifananishe na miji ya kijinga kama naipori
 
Watu wanatembea kwa Mguu kwenda na kurudi Makazini,
Trying to Imagine this life in Dar , not even possible. Mtu utoke Kimara au Tegeta au Mbezi hadi Posta au Morocco kwa Mguu, Kwani Nairobi ni ndogo this much ?
Besides hawa watu wanaonekana wamechoka, wamepigwa na maisha , wamevaa mitumba. Hawana matumaini, wamepauka. Hard life.

View: https://vt.tiktok.com/ZSq382jQr/

Mjuaji.
Do you know where they are going and how far away it is?
 
Back
Top Bottom