stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,878
- 37,404
😅😅 wait.. did you just make a whole U- Turn? Why do Tanzanians hate taking responsibility for their own words🤣🤣🤣Who cares? Their population is just 10M
😁wanamchukia sasaHuyu Dangote mmoja mwenye mmekuwa mkisifia kila siku?
Wapi source yako bongolalaalafu i told you those entries will be updated tayar mshashushwa 52 postions down 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
sasa source tena na ishakua official 52 positions down, wait for the entries za main site ziwe updatedWapi source yako bongolala
eti wanataka kumkomoa, abood tupo nae toka miaka ile 🤣 🤣 🤣Sasa hawa vibasi 90 tu wanalalamika , vipi kina abood wanaoshusha mpaka 100 kwa mwaka na hakuna vilio,
Yaan mtoto wa rais anafanya biashara ya mabasi badala viwanda 😭😭😭
Hapo wasahau kupata public transport ya maana. 😂😂😂Sasa hawa vibasi 90 tu wanalalamika , vipi kina abood wanaoshusha mpaka 100 kwa mwaka na hakuna vilio,
Yaan mtoto wa rais anafanya biashara ya mabasi badala viwanda 😭😭😭
Watu wanatembea kwa Mguu kwenda na kurudi Makazini,
Trying to Imagine this life in Dar , not even possible. Mtu utoke Kimara au Tegeta au Mbezi hadi Posta au Morocco kwa Mguu, Kwani Nairobi ni ndogo this much ?
Besides hawa watu wanaonekana wamechoka, wamepigwa na maisha , wamevaa mitumba. Hawana matumaini, wamepauka. Hard life.
View: https://vt.tiktok.com/ZSq382jQr/