Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba you think your opinion matters😅
There are 8 billion people on this planet, no one needs you! World athletics is second to Olympics in terms of popularity.
Hii news imewasumbua sana, not like mlibid hata 😅

View: https://x.com/bbclondonnews/status/2099802013131235736?s=46

View: https://x.com/edwardabarnett/status/2099825732188803576?s=46

Kijana utabwata sana ila michezo ya maana duniani wakwanza ni football. Ambao una watazamaji wengi,wawekezaji wengi na unakusanya mapato mengi.
Hizo bonanza zenu za kukimbia sio popular. AFCON tu ni kubwa kuliko hizo bonanza za kukimbia,cricket na rugby mlizo host. Ndio maana hata mataifa tajiri kama Qatar,Saudi Arabia e.t.c yanapambana kuukuza mpira kuliko michezo mingine tena kwa pesa ndefu nchini mwao.
 
sasa source tena na ishakua official 52 positions down, wait for the entries za main site ziwe updated
Hio official report iko wapi? 52 positions kwa kichwa chako ama? Yani uneshindwa ku defend claim yako kabisa?
Hio official source leta hapa.. na usiende ukatweet X alafu upost hapa kama official source kama kawaida 😅😅
 
Kijana utabwata sana ila michezo ya maana duniani wakwanza ni football. Ambao una watazamaji wengi,wawekezaji wengi na unakusanya mapato mengi.
Hizo bonanza zenu za kukimbia sio popular. AFCON tu ni kubwa kuliko hizo bonanza za kukimbia,cricket na rugby mlizo host. Ndio maana hata mataifa tajiri kama Qatar,Saudi Arabia e.t.c yanapambana kuukuza mpira kuliko michezo mingine tena kwa pesa ndefu nchini mwao.
Basi Ni mchezo gani mumewahi kuhost kubwa ya kimataifa🤣
 
Hio official report iko wapi? 52 positions kwa kichwa chako ama? Yani uneshindwa ku defend claim yako kabisa?
Hio official source leta hapa.. na usiende ukatweet X alafu upost hapa kama official source kama kawaida 😅😅
kwan wakati unareply the start ulikua hujaona source, infact na apo bado that passport cant even allow you to bypass sudan am sure by next year it will be the last globally 🤣 🤣 BTW that passport is so stupid that its owned officially with terrorists 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
kwan filter haijatumika leo
1789974797491.png
 
Back
Top Bottom