AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,310
- 3,258
Watu wanatembea kwa Mguu kwenda na kurudi Makazini,
Trying to Imagine this life in Dar , not even possible. Mtu utoke Kimara au Tegeta au Mbezi hadi Posta au Morocco kwa Mguu, Kwani Nairobi ni ndogo this much ?
Besides hawa watu wanaonekana wamechoka, wamepigwa na maisha , wamevaa mitumba. Hawana matumaini, wamepauka. Hard life.
View: https://vt.tiktok.com/ZSq382jQr/
Sasa hapo wanaoga wakishafika kazini? Mbona kunyaland Ina laana namna hii?