mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,279
- 6,710
I think they will renovate Kasarani even more after AFCON especially the surroundings… there is major logistical infrastructure that need to be in place by 2029. Nairobi will benefit immensely in new infrastructure development in and around Kasarani.Why is Tanzania building olympic stadiums when they will never host such events? In Kenya another big stadium complex will be built just for the World Athletics.
Siku 3 nangani unamaanisha wapi? Pale inaposhusha au kule nje ya bandari? Kule nje any time T kuna meli si chini ya 20. Sasa niambie ile meli ya 20 itakaa siku tatu kabla ya kuondoka? Obama avenue na Toure drive napita kila siku hizo meli huwa naziona kila siku. Meli ambayo haikai zaidi ya siku 5 ni ya magari kwasababu ina sehemu yake maalum kushusha ma kwa wiki zinaweza zisizidi mbili kuingia bandarini.Nje zimejaa ila ndani pia zinatembea,zamani meli ilikua inakaa nangani hadi siku 10,sasa hivi siku 3,bado speed sio nzuri ila at least
Was it witheld from him beforehand? Because Mr Draper seems to be a good investor, I highly doubt that such critical information could’ve been overlooked during due diligence..That's an isolated case. Draper acquired that Island/land as an investor. Foreigners do not own land in Tanzania. Under normal circumstances one can sell his/her plot,farm,house whenever they wish.
I don’t know what you think your mediocrity will achieve porn addict.
Siku 3 nangani unamaanisha wapi? Pale inaposhusha au kule nje ya bandari? Kule nje any time T kuna meli si chini ya 20. Sasa niambie ile meli ya 20 itakaa siku tatu kabla ya kuondoka? Obama avenue na Toure drive napita kila siku hizo meli huwa naziona kila siku. Meli ambayo haikai zaidi ya siku 5 ni ya magari kwasababu ina sehemu yake maalum kushusha ma kwa wiki zinaweza zisizidi mbili kuingia bandarini.
Mtu apambane na hali yake jameni- you have bigger problems, deal with them first before speaking for us.
View: https://x.com/cutemaria26/status/2100177062459806065?s=46
View: https://x.com/katunziblog147/status/2100260399023108385?s=46
Wakati kasongo anaendelea kuwabeba ufala ng'ombe wa north... Huku mambo yanaendeleaa. ..
Hata EACOP haijaisha , Bomba jingine jipya linakuja.
View attachment 3671972
View attachment 3671973
Ndio hivyo sio chini ya meli 20 zinasubiri kuingia.View attachment 3672020
Moored meli 22,hapo including tanker,container,bulk career na roro