Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3671805
Naona zimbabwe nao wanarudi dar port kwa kasi kubwa mno
Wamesha secure place hapo Kala Dryport .

Kinachotafutwa Sasa ni kuiteka DRC yote kuanzia Kusini Hadi Kaskazini na Nchi jirani .
Screenshot_20260916-152011.jpg

Route ya Sasa inazunguka sana kupitia Kasumbalesa.

Short route itakuwa hivi 👇👇
Screenshot_20260916-152944.jpg
 
Wamesha secure place hapo Kala Dryport .

Kinachotafutwa Sasa ni kuiteka DRC yote kuanzia Kusini Hadi Kaskazini na Nchi jirani .
View attachment 3671823
Route ya Sasa inazunguka sana kupitia Kasumbalesa.

Short route itakuwa hivi 👇👇
View attachment 3671827
Kuna meli nyingi sasa hivi zinapiga kazi kati mpanda karema port to kalemie DRC,ingefanyika jitihada ikapatika roro ship ya kuingiza trucks hata 50 kwa trip 1,hapo tungekua tumemaliza,yan hata kama ile sea link ya azam inayobeba trucks dar to unguja
 
Back
Top Bottom