Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Great tho itakuwa poa zaidi wakijenga one biggest cargo terminal in africa inaweza ku attact ndege za mizigo pia
 
Kwani how bad is bongo education to produce such an alarming number of thick obtuse airhead individuals in just 1 thread bana! Yaani Hii thread nitakuwa mwalimu ya hawa vinyangarika wote! Nimechoka sasa🤣🤣View attachment 3671423
downloadfile-143.png

Maku nenda kale kwanza,halafu ndio uje kutufundisha 😃😃
 
Kwa hapa Afrika mambo ya mbio ni Kenya na Ethiopia tu.
Hata sie kwenye mbio tuko vizuri,ila tu chama cha riadha na olympic vilikua vinaongozwa kama vyama vya watu binafsi,ikangaa na mwenzie bayi walikua wabinafsi na wezi,kidogo sasa hivi tumeanza kurudi kidogo kidogo kwenye riadha
 
Why is Tanzania building olympic stadiums when they will never host such events? In Kenya another big stadium complex will be built just for the World Athletics.
I thought you said Olympic stadia are outdated, not modern 😆
ndio mnajiona msivyo na akili, why build another one when you had an opportunity to just include the running tracks in that Atalanta.
 
Back
Top Bottom