Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wanatamani nchi yao ingekua karibu na Marekani wanaishobokea marekani na Ulaya hawa.Mtupe taarifa round hii trump kawarudisha wangapi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mount kilimanjaro inaingiza watalii zaidi ya idadi ya watalii wote kenya nzima kama unabisha sema tu
 
Tununue kokoto-?? tununuaje kokoto wakati tuna plenty of it Qatar yenyewe inakuja kuchukua mawe tz kwenda kujengea viwanja vya kombe la dunia kama unarafiki yako anafanya kazi Bandari ya dar es salaam muulize
Tunawaelewa nyinyi ni shamba la bibi, yani mpaka Kokoto yenu hamuezi kutumia kujenga ya kwenu lakini za Qatar mnaweza? I can see the reason why hamfaidiki na madini yenu.
 
Tunawaelewa nyinyi ni shamba la bibi, yani mpaka Kokoto yenu hamuezi kutumia kujenga ya kwenu lakini za Qatar mnaweza? I can see the reason why hamfaidiki na madini yenu.
Nigga unafeli[emoji85] [emoji85] [emoji85] mama yangu hadithi za sungura na Fisi zilipendwa hizo story [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
wachochole wa Nyerere๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€LDC capital...Mungu ibariki tanzania
 
Kenya media does its work very well. Ukitazama news za Itv, star tv, tbc 1 utadhani watangazaji na reporters hawajaenda shule
[/QUOTE]
 
Du hizi mambo kama Mogadishu hatari wakija hapa jamii forum wanavimba kweli mashavu kama viboko Nairobi Nairobi kumbe hamna kitu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tanzania will never catch up with Kenya even in 100 years. Apart from Dar nothing happens in other towns. Arusha, Moshi, Mwanza ni maduka ya nguo na duka za kawaida tu. Google about Mombasa, Machakos, Nakuru, Eldoret, Kisumu, Thika, Kisii, Meru, Naivasha, Nyeri, Malindi ndio mtakubali Kenya is a powerhouse.
East Africaโ€™s dollar millionaires 2016
  • Business Daily (Kenya)
  • 13 Nov 2017

KENYA HAS MORE DOLLAR MILLIONAIRES THAN UGANDA, TANZANIA AND RWANDA COMBINED
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ