Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We care less .....we work hard
 
ukosefu wa ajira kwa ma-youth umeifikisha nairobi katika hali hii.

mapanyaroad (muggers) yametapakaa kila kona ya cbd hali ni mbaya sana.
though mimi walinijaribu once hapo mfangano lane......niliweka nyangau ngumi ya tumbo
 
kelele za chura (ldc Tanzania) hazizuii ngombe kunywa maji.....hahaha



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…