Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mtoto wake kaja kaendeleza kabeba benki, na express way pesa znaingia kwake 🤣🤣🤣 kwa kifupi wanashindana nan anajua kuwapiga wananchi zaidi ya mwenzake 🤣🤣
Ile airport yao kubwa zaidi Inayovuja mvua ikinyesha kwa sehemu ni Mali ya the mighty grandpa & family, the Good immortal Jomo himselfu.
Willy alitaka kupeleka pua yake pale akaleta wahindi wanaitwa sijui wanaitwa adani, ile vita alipigwa alisanda chap, kenya ni ya wenyewe. But I sometimes find that the good grandpa, the legendary land grabber was too good for these kunyans .
 

Sema huyo rais wenu unamshadadia ni very low score, tukipata mtu sahihi hii nchi tutageuka china chap , yaani we have all it takes , yaani kuzalisha bidhaa ndani ya Tz ni very cheap, ingetupa advantage ya price leadership plus the leverage on the strategic geographical location. Kwa mfano, bia kama serenget lite ina potential ya kupenya kenya, UG, Ethiopia,DRC, Zambia, Malawi etc,
But bahati mbaya tuna viongozi vilaza.
 
Kuna kitu lemon na Serengeti apple acha tu
 
issue ata sio viongozi, kuna takwimu moja ilifanyika kama 2 years back ilisema kwamba ukilinganisha tanzania na nchi zingine hata zinazotuzunguka, kila aliepo bongo anawaza atapata wap ajira badala ya tutaanzisha nn, hio mindset inasababisha kuhisi kama kila kitu anatakiwa kufanya serikali wakati nchi zote kubwa makampuni yote unayojua wewe hadi advancement za tech tunazoziona leo ni jitihada za watu mmoja mmoja kuwaza kitu cha tafauti, unfortunately kwa nchi yetu wengi bado wanasubiria viongozi wafanye, ndo kidogo kuna mwamko umeanza mfano kama ila mofat ni ya mtu binafsi, na ndo nchi zilzioendelea zinaendeshwa ivo
 
but why would he name his land after his surname 😭 😭 😭 inauma sana, yaani leo hii niitwe nationality ya jina la ukoo la mtu 😭😭😭😭
 
kuna tenda walisaini na yule bonge wa zimbabwe, sasa unajiuliza yule mzee na ujenzi wap wap wakati yeye ni mzee wa totoz 🤣 🤣
 
Hao hawana akili ndio maana mchina akawajengea mistesheni mikubwa hadi sehemu zisizo na population kubwa.
hata ingekua mm lazima nilipue,, yaaani wa nyuma kajipigia saahv ana hela mpaka anataka kurudi kwenye siasa alafu mm ndo nionekane saviour 🤣🤣
 
Maybe you need to rewrite in Swahili.. otherwise lack of comprehension will only increase chances of a Kibera response …😁😁😁
 
Hii ni upuuzi!
Hata sisi kama tunataka sifa tunaweza kujenga haya mavitu. Wanayo fanya Rwanda, Ethiopia, Kenya na nchi nyingine za Africa ni show off ili kuonekana wameendelea wakati maisha halisi ya watu wao ni magumu sana case ya South Africa pia.

Miradi tulioifanya kwa pesa zetu, SGR, ndege mpya, JNHP na mengine mingi ungekuta tuna miji ya kisasa na mikubwa ajabu na tunatrend sana mitandaoni kuwa tumeendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…