Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkundustani kashachukua cha juu! Uwanja wa gharama ya over $400mln huo!
hata ivo nyasi wanaanza upya tena 🤣 🤣 , sema jamaa wameoshwa vibaya mno! this cant be even $75M
1788707140486.png
 
Mkundustani kashachukua cha juu! Uwanja wa gharama ya over $400mln huo!
what suprises me most is they pay back $1.3B, in simple words we give you money to build 1 stadium but we need back money that can build 3 stadiums 😭 😭 😭 and they accepted
 
Hii nayo after AFCON itapigwa ban moja safii kwa kutokidhi vigezo vya kushiriki mashindano.
Kutunza itawashinda kama kawaida yao. 😂😂😂
Pitch gani kila wiki wanaziba viraka!
tuliwaambia mapema kabisa hio pitch mmepigwa wakaona kama tunawapigia kelele, saaahv hata kusalimia wanashindwa, Nicxie hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
1788708354378.png
 
Back
Top Bottom