chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Miaka 5 nyuma walikua na 2800 hakuna mradi wowote wamefanya hata wa megawatts 10 from there, huwa wanaangalia Tanzania imeachieve nini then wanaongeza number, kila sector, bandarini, barabara, manufacturing, Kunyaland ni taifa la vichekesho kweli!Hivi hii 3,800mw ya wakunya wameitoa wapi ? Mtu alete breakdown hapa tuone, I know their actual capacity is around 2800-3000MW