Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Everything… just like Talanta, utastuka … Westlands roads will be done differently to match the prestige of the area .. they will even install road furniture that doesn’t exist anywhere else in sub Saharan Africa. You see such things in America ( maybe Europe too).
Kama nyasi ya Talanta tu, utajua haujui …😜😆😆
Maybe we should let my “insider info “ battle your insider info … 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Itakua fire

View: https://youtu.be/h2PY0gwlTJo?si=4OdPv4mAjjAxE_37
 
na huku msisahau mwaiofhawaii
1788033630606.png
 
Barabara zote zinazohusiana na AFCON zinajengwa kwa kiwango cha lami na zege. Ikiwemo ile mbele yaviwanja wa Taifa nikiwahi kuisema humu ilikuwa inatia aibu.
Barabara around viwanja vikuu na viwanja vya mazoezi zote zinajengwa hadi ile ya kuelekea uwanja wa mbweni jkt.
 
Na hapo ndo EPICENTER of football in the region, 🤣 🤣 yaani walikua wanazingua
 
Barabara zote zinazohusiana na AFCON zinajengwa kwa kiwango cha lami na zege. Ikiwemo ile mbele yaviwanja wa Taifa nikiwahi kuisema humu ilikuwa inatia aibu.
Barabara around viwanja vikuu na viwanja vya mazoezi zote zinajengwa hadi ile ya kuelekea uwanja wa mbweni jkt.
na usafiri wa moja kwa moja kutoka kokote dar non stop
1788036639831.png
 
Back
Top Bottom