stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,874
- 34,575
sio mbaya kuwakumbusha mara moja moja 😂😂😂Sometimes huwa tunakaa kimya kuwasitil. Lakini ka mudomo ka jirani. 🤣 🤣 🤣 🤣
Chini ya hilo jengo ni vumbi tupu.mpaka jengo lina vumbi 🤣🤣, lakini looks like a decoration, what do you say mwaiofhawaii
View attachment 3659708
Majority of countries doesn't even achieve 70% of their installed capacity. Hawa wanadhani hiyo Installed Capacity is what is being produced on a daily basis😂😂🤣Hawajui the difference between installed and generated capacity… hawa majamaa .. masomo hawana …😆😆
Kwani $1.3B sio pesa? Ama hujui maana ya Stadium ya Pesa?na ni $1.3B 😭 😭 😭 😭
tena ni pesa ndogo, hio stadium ni world class ilitakiwa ilipwe kama $3B ivi 😭 😭 😭Kwani $1.3B sio pesa? Ama hujui maana ya Stadium ya Pesa?
nmekaa nmecheka you and some other guy trying to create imaginary slums in dar, wakati slums zenyewe zipo apo apo ukilipa ngiri 2 unafikishwa mapema 😂😂😂😂😂😂
Btw i never knew of this slum ndo nmeiskia juzi
View: https://www.youtube.com/watch?v=drb_W-TuFcM&pp=ygUca29yb2dvY2hvIHNsdW0gbmFpcm9iaSBrZW55YQ%3D%3D
See the quality of your phone, nunua simu kijana😂😂🤣
mweneywe ndo nmeiona juzi nlikua naijua dandora but only to be told, "hold my beer" 😭😭😭 ni huzuniNasikia Korogocho ni kitongoji kimoja kilichopo Nairobi, hivi ni kweli? Duh😂