Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 676
- 1,108
Sio kweli, Dar hakuna nyumba za udongo, alafu kuhusu nyumba za bati Kenya ni kama uji kwa mgonjwa, zipo Kenya nzima, nikuulize swali Mombasa kuna baridi? Mbn nyumba za mabati na udongo zimejaa?Jaribu utumie hata akili ya kuzaliwa, nyumba ya mabati in Dar is slum nikama kuishi ndani ya jiko, shida ni weather conditions.
Hii pia ni tofali sio?
![]()