Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,919
- 5,083
Case ya hawa wadwanzi ni kama western media propaganda kuhusu China. 😂😂😂Just Imagine kuanzia akiwa Primary anaambiwa kila kitu ni Kenya na hajawahi kutoka Kibera. Tukimwambia vitu humu JF haamini.
Kuna msichana mmoja wa kenya alikuja TZ alilia baada ya kuona ukweli na nikamdinya bure baada ya kumosha na sabuni ya Komesha
Sasa humu mnamtafunisha vipande vya chupa atake asitake. 😂😂😂