Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

we havent got a win? 😂😂 group stages tuliingia kwa kuimba nn
Ngoja mamako atoke sokoni mpingane naye, Mimi ntakumaliza😂😂🤣👇👇

1000384380.jpg
 
Because we were the main host. Ingekuwa nyinyi ndio mko in our situation nobody could have given a *** about Tanzania 🤣😂😂
i understand your pain 😂😂😂😂 the most stupid grass ever 😂😂😂😂😂😂😂, and huna uwezo wa kua Main Host

View: https://youtu.be/WhxhZd90MXM?t=299
 
Mbna nyie pia hamkuingia group stages bila kushinda 😂😂😂 nlisahau huna ela hata ya kulipia AI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimekuambia ngoja mamako mbishane, Mimi sitakubembeleza hapa.

1000384380.jpg
 
Sasa group stage ni AFCON? 🤣🤣🤣
Hiyo AFCON ya 'group stage' iliandaliwa mwaka gani, na ni nchi gani ndio ilikuwa muandalizi and which countries participated in that tournament?
sasa mathare na mpira wap wap, kuna preliminary stages kama hizi ambazo mmepangwa na south africa, unashinda mechi zako unaongoza kundi ndo unaenda straight to group stages 😂😂
 
Hongereni japo hofu yangu ni kwamba slums huenda zikaongezeka maradufu, kwasababu hakuna asiyejua kwamba kenya kuna gap kubwa btw wenye nacho na wasio nacho, jiulize slum dweller gn ata afford kupanga hapo? Ni kama mnawaambia wakajenge slums kwengine, na hata kama mtawapa bure few years to come patageuka pipeline mpya. Africa sijui nani kawaroga, maskini wanahitaji watengenezewe mazingira ya kupata kazi au shughuli za kufanya ili ku improve their standard of life na siyo kuwajengea, haitasaidia.

They sold out so fast pre-construction, some are now complaining about missing out.


View: https://x.com/KenyanSays/status/2093180800204173558
 
Arusha stadium itaungwa na roads za kisasa kabisa kuzunguka uwanja, hatujawahi kufeli katika miradi sisi kwasababu huwa hatukurupuki.
Ebu tuonyeshe vile barabara za kisasa zinafana alafu tuonyeshe the progress of those barabara za Kisasa hapo Arusha😂😂🤣
 
Back
Top Bottom