REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,894
Mkoa wa [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] umebarikiwa kwa kuwa na ardhi nzuri arable pia ni kati ya mikoa the nayoilisha nchi kwa kuwa na mavuno yasio na kifani.
Pia mkoa wa [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] ndio mkoa unao control biashara ya usafiri katika lake Nyasa ambapo mkoa una meli nyingi za abiria pamoja na mizigo zinazofanya safari katika ports zote za lake Nyasa upande wa Tanzania, Malawi na Mozambique.
[HASHTAG]#31TzRegions[/HASHTAG] #10 [HASHTAG]#Ruvuma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]