Mambo gani mmebadili wakati bado mmekwama kwenye lile tope. Mjinasue kwanza ndo mje muongee na wanaumeTumebadili mchezo,umeskia tena corruption miaka ya hv karibuni?Watu tunalipa kodi sahv hakuna ujanja ujanja,mega projects now zinakua implemented hakuna tena kuahirisha ,
Tunachosema ndio tunachotenda...Mi naamini are nyie kuna vitu mnaviona kuweni wakweli na wawazi....ndani ya uongozi huu tumebadili mambo mengi sana kaka
kwani wewe neno uswahilini unalielewaje?.Nairobi hakuna uswahilini babu.
hata mimi huwa najiuliza.hvi kadoda mm hua najiuliza sana kupinga nyumba rangi kenya ni mwiko au????😀😀😀
Wataachaje wakati kwao ni kenya Nairobi kwenye hali yao ya hewa nzuri.Huoni wamerudi nyumbani na kambi Lao kubwa la kijeshi na kuwabakia wanawake zenu au unafikiri hatuji.Ok,from today onwards hatutaki kuona those dwarf twin towers za Dar! Hata kwenu wakoloni walikua na hata masultan mbona hawakuwaachia hata 20% ya maendeleo!
Yatatuuumaje wapenda kiki nyie mnaishi kwa vituko na majigambo ili dunia iwajue.Al shabab waliwashinda mkasingizia Elitrea inawasaidia hamuoni hata haya [emoji12] [emoji12] [emoji12]The same old, boring narrative from bongolalas. Laleni kabisa ndugu zetu toka bongo mkiendelea kulalamika jinsi wazungu walivyojenga Kenya. Hata nyinyi mlikuwa huru kuwaleta wawajengee nchi yenu walivyotujengea sisi. After all is said and done, the country in front of you ni Kenya. Maendeleo ya kenya itawauma sana mkose usingizi ila hamtatufikia kamwe
Apo ni uswazi Hamna kitu cha maana apoNairobi hakuna uswahilini babu.
Na kibera biggest world's slum ni uperhillNairobi hakuna uswahilini babu.
Haya majengo ndo maana yanadondokaga. Yanaonekana mazito sana.naliamsha dude kidogo la rafiki zangu wakenya:
shikamoo wakikuyu...hakika wakikiyu sio watu wa mchezo.
wakati nyumba nyingi binafsi za dar es salaam zinamilikiwa na watanzania mbalimbali toka katika makabila yote ya tanzania,hali ni tofauti kwa nairobi.
aslimia 95 ya nyumba zote za kupanga jijini nairobi, zinamilikiwa na wakikuyu.
wao ndio "ma baba wenye nyumba na wa mama wenye yumba" wa apartment zote ambazo wakenya wa makabila mengine yote wamepanga pale nairobi.
nauliza wakenya, kwanini mliruhusu hali hii kutokea?. hamdhani kwamba kwa hali hii mmetoa nafasi kubwa ya kutawaliwa na watu toka katika jamii moja kwa mda mrefu?.
hizi ni baadhi ya apartment za mkikuyu katika mitaa mbalimbali ya uswahilini ya nairobi.
na ifahamike tu kwamba, hawa wakenya wote wanaopiga kelele hapa jf kuhusu nairobi, landlord wao ni wakikuyu. [emoji23]
Let's visit garisaa county....it has lots to offer....
kwani uwongo? nchi iliobarikiwa sana ila maskini wa kutupwa..Hahahaaaa
Braza we fala sanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapendagarisaa county.....
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b351ef3ff80011ca
[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b5033ddf4ccf338d7219460efff22f04.jpga5c1d6e8bc84587a.jpg[/IMG]
Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapenda
Hivi wewe umechoka kuishi?, polisi na KDF wakiambiwa kuna safari ya Garisa chupi zinaanza kuwabana, wanauliwa huko kama sisimizi waliopuliziwa dawa, wewe tuendelee kusuguana humu JF, huko ukienda huwezi kurudi ninakuhakikishia, labda kama ni muisilamu unaweza kujibu maswali yao.Wow! I think Garissa should be my next travel destination. I never knew that it's so green. Nimepapenda
garisa county hata uniambie utalipaLet's visit garisaa county..