Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He has transitioned to facade lights 🤣🤣
He is busy making noise on Talanta Stadium while Arusha Stadium is creaming low quality.

I doubt if CAF will agree to schedule any match here.

1000372437.jpg
1000372436.jpg
 

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2026567843123495321 hii ilikua feb,serikali itafanya jambo la kijinga sana kuiunganisha kenya kwenye hii project,kwanza wao wameshindwa kuiendeleza project yao now wanataka kudandia project za wenzao!

Kenya itaunganishwa kwenye old meter gauge only ila kwenye SGR sidhani maana mifumo ya control ni tofauti kabisa na pia diesel trains infrastructural requirements kama refueling hatuna hizo provisions huku kwetu. Hivyo itakuwa challenge sana ku manage Kenyan trains on Tanzanian rails.
 
Back
Top Bottom