Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo Kando wanataka kuweka basketball court ama naona Vitu zangu.😂😂
Alafu ona vile people are too small hapo ndani. Do you think these people will be able to see the ball really?

1000372438.jpg
 
Interestingly, leo hii wanasema Fumba Stadium is their best stadium. Kumbuka hiyo fumba stadium is a poor replica of Talanta - the same Talanta yenye wanasema ni mbovu.
Shida yako ni kuongea uongo, acha kuongea uongo kwenye discussion zenye tija, yani unadanganya ili uonekane umeshinda.? Hii ndio tofauti yenu na sie.
Arusha design is the best in this region although it has running track lakini Fumba stadium is also better than your Talanta stadium from the technology they used to install teraces etc. Tusibiri viwanja vyetu viishe tgen tuje hapa kama huu uzu hautokua mchungu kwenu. 🤣🤣🤣🤣
 
Interestingly, leo hii wanasema Fumba Stadium is their best stadium. Kumbuka hiyo fumba stadium is a poor replica of Talanta - the same Talanta yenye wanasema ni mbovu.
Kwani wameachana na Masidisi Bensi Stadium tena?😂😂😂
 
Let me remind this stupid kundurendans. 🤣🤣 Arusha stadium
IMG_5622.png
unajua kwanini mjadala wameuhamishia kwa running track.? This is the only reason. 🤣🤣🤣
 
Fumba stadium is also better than your Talanta stadium from the technology they used to install teraces etc.
Technology yenye tinanunua kujenga our county Stadiums ndio unajipiga nayo kifua?😂😂😅👇👇

Hii ni Kamariny Stadium under construction and is using your supposedly "better technology"😅😂😂👇

1000372758.jpg
 
Vipi Yale Mambo yetu Mbilikimo?
Mimi nishaafika number 16 na kwa hizo 14 ni over 30 floors.😂😂
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
7. Montbleu - 30 floors
8. SIB Bank Tower - 32 floors
9. Stellar Bay Tower - 30 floors
10. Golden Mansion - 30 floors
11. Emerald Springs Tower 1 - 30 floors
12. Emerald Springs Tower 2 - 30 floors
13. Le Mirage - 35 floors
14. Marble West - 31 floors
15. Grosvenor Residence Tower 1 - 34 floors
16. Grosvenor Residence Tower 2 - 34 floors
Render na site
11.webp
11.webp

View: https://www.tiktok.com/@grosvenoresidences/video/7648179435195157780?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
Technology yenye tinanunua kujenga our county Stadiums ndio unajipiga nayo kifua?😂😂😅👇👇

Hii ni Kamariny Stadium under construction and is using your supposedly "better technology"😅😂😂👇

View attachment 3652498
We bhana hujui kitu chochote kuhusiana na mambo ya ujenzi kwako wewe bora ubishe tu. 🤣🤣🤣🤣

Nimekwambia focus na kutibu vidonda. 🤣🤣🤣..
 
Shida yako ni kuongea uongo, acha kuongea uongo kwenye discussion zenye tija, yani unadanganya ili uonekane umeshinda.? Hii ndio tofauti yenu na sie.
Arusha design is the best in this region although it has running track lakini Fumba stadium is also better than your Talanta stadium from the technology they used to install teraces etc. Tusibiri viwanja vyetu viishe tgen tuje hapa kama huu uzu hautokua mchungu kwenu. 🤣🤣🤣🤣
Wacha pupa wee mbilikimo

View: https://www.instagram.com/p/DcJwF2cjCAU/?img_index=1&igsh=YTNrdGRmMWR0b2Nz
 
Back
Top Bottom