Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbilikimo Traveller D , nini mbaya? Mbona hupost? 🤣 🤣
Ni kama Westlands iko na 30 floors nyingi kuliko 20 floors za Upanga.
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
7. Montbleu - 30 floors
8. SIB Bank Tower - 32 floors
9. Stellar Bay Tower - 30 floors


Render na site

11.jpg

11.webp

11.webp
 
😂😂 Even from this channel, Lynn Ngugi with her 1.5 million subscribers can buy poor Bertin with his 60k many times over.
There is a reason why vloggers from all over Africa and even US and Europe come to Kenya for content creation. Some are permanently based in Nairobi …they know Kenya will get them attention.
 
Eeh hapo umenena, lakini Nairobi na Dar ni kama ndugu wanaogombana. Hii master plan ya Dar ina uzito, ila Nairobi pia ina vitu vyake. Ngoja nione watu watazungumza nini zaidi mimi naweza kusema Dar ina bahari, Nairobi ina baridi. Kila mji na faida yake..
 
Back
Top Bottom