American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 902
- 1,544
Eeh hapo umenena, lakini Nairobi na Dar ni kama ndugu wanaogombana. Hii master plan ya Dar ina uzito, ila Nairobi pia ina vitu vyake. Ngoja nione watu watazungumza nini zaidi mimi naweza kusema Dar ina bahari, Nairobi ina baridi. Kila mji na faida yake..