stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,855
- 37,363
Btw jamaa ana maisha magumu kinoma, alipiga screenshot akatuma kumbe tukaona simu lake, aliifuta hio picha haraka balaaaMtu wa murima kijijini boy unachekesha 😂😂😂
Bertin is doing both blogging and vlogging.
Kwani kizungu ulijifunza wapi uende wakupe ada yako.? 😂😂😂