Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sijui lakini tawireee 🤣
View attachment 3631780
See why you just can’t trust the grass? You don’t rely on things like grass to make any long term arguments now look at yourself
324FA17D-5F2A-4CE5-B7E0-E42B82227EC6.jpeg

F231FE7E-B1FA-4FE8-AE7D-ADE970B79097.jpeg
 
Actually that’s about right … hata South Africa hawana such height .
Tallest in South Africa is the Leonardo at m and they aren't building many talls anymore. In 20 years time, the tallest building in South Africa may not make it to top 10 in Nairobi. Luanda was on fire sometime back but they've cooled down now.
 
Level gani hio? Influencer who lives in Tandale? 😂😂
You are very stooopid if you think influencing pays well. We have thousands of those in Kenya.

Akiweka camera chini anarudi bedsitter yake Tandale.
Never put my name na yeye pamoja. Bongolala wewe.
Hakuna influencer wa kumzidi Bertin hapo kunya renda nzima. Mnuka mdomo mwenye confidence unachekesha. 😂😂😂

Kibera walker alijaribu lakini akazima sigara. 😂😂 NairobiWalker ni influencer wa bei ya jioni, maskini tu mmoja aliejaribu kujitutumua. Bertin amesafiri karibu nchi zote za Sub Sahara Africa.

Sasa mnuka mdomo kama wewe sijui unajiia umuhimu gani,
 
I shoot videos for fun, not as a career. I've been busy with other things the past one year that's why I haven't been shooting. Wewe post majengo wachana na vlogging wakati hata bei ya quality camera hujui.😂😂
 
Ntakupost videos zako za ticktock fala wewe 😂😂😂😂. Kila siku napata recommendation za kuku follow nakausha.

Ulijaribu ukashindwa n you were not doing it for fun. 😂😂😂. Nimeziona videos zako mingi tu nikaishia kukucheka.
 
Go ahead and post post them. Meanwhile, Ebu post majengo yako ya Upanga, huu mchezo wa escapism tunaujua.😂😂😂
Nimekwambia mambo ni polepole. Utasoma number.
Next
1. 1870 West Tower 1 - 37 Floors
2. 1870 West Tower 2 - 37 Floors
3. Royal Vistaa Tower 1 - 30 floors
4. Royal Vistaal Tower 2 - 30 floors
5. Brookside Oak Residency - 27 floor
6. Golden Hill - 21 floors
Kawaida render na site
11.webp

View: https://www.instagram.com/reel/DVLQGdkip0g/?igsh=MTQwZDd2ajczenI0bQ==
 
Back
Top Bottom