joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Define development that you are talking about.I am privileged to live near a border town. I once travelled to a place called Bunda in northern Tanzania trough Sirari border. The moment you cross over to Tanzania you feel that you are in a different country, if not a different planet all together. The level of poverty and backwardness rent the air the moment you step on Tanzanian soil. All through the journey I kept wondering why Tanzania has achieved so little in terms of development.
As opposed to the Ujamaa economy?Kenya’s super rich now control two thirds of Sh6.2trn economy
Acha kupiga kelele badala yake lete facts, 62% of your GDP is owned by only 8300 people, that means, only 38% is shared by 45Millions Kenyans. Huu ni ukweli usiofichika kwamba capitalism did very bad thing for majority of Kenyans, it is only brainless people like you who can support capitalism economic policies, how cana a country which claims to have big economy fails just to feed its people?
I am privileged to live near a border town. I once travelled to a place called Bunda in northern Tanzania trough Sirari border. The moment you cross over to Tanzania you feel that you are in a different country, if not a different planet all together. The level of poverty and backwardness rent the air the moment you step on Tanzanian soil. All through the journey I kept wondering why Tanzania has achieved so little in terms of development.
Kwani hujuangi kwamba to them Kenya is like Europe? Don't you remember how Nyerere used to tell them that wakitaka kwenda ulaya wakuje tu Nairobi coz ni kama tu ulaya. Hawa watu talk bad about us lakini ndani ya mioyo yao wanatumezea mate ile mbaya.
Hata ujaribu vipi hapa hauwezi convnce mtu yoyote, nakumbuka kuna ili mada nyengine ililetwa na MTanzania akielezea aliyoyaona alipofika nairobi na wewe ilikua ukijaribu kila juhudi kumkana na zako za sijui 'wakenya ni wakabila, roho chafu, wabaguzi, wanauana" ...yani typical tanzania stereotype, Kenya unajua kwa picha na magazeti tu! Watanznia walio kaa kenya tlutawajua tu hata bila kuuliza kama alifika kenya, ukisoma maelezo yao kuhusu kenya hua unaona details zao ni za kweli kabisa... Lakini wewe hata sidhani kama ushawahi kukutana na mkenya in real life, hata huko bongo!!;Mimi sio kama wewe mtu wa Kibera, kila miezi mitatu kabla ya uchaguzi wenu nilikua ninakuja Nairobi, nimeacha kwasababu ya fujo Zenu za Uchaguzi, Professor Mwabora hapo Nairobi University department of Physics huwa ninamchukulia 50Kgms of rice in my car whenever I come there, Kenya hiyo nimeizunguka sana, mkishatulia kidogo nitakuja tena, nitakutafuta nikuletee mchele wa Kyela na wewe pia.
Utakua umemsaidia sana tena mpelekee hata 20kg buree tu ajue hatuna njaa huku hahahahaMimi sio kama wewe mtu wa Kibera, kila miezi mitatu kabla ya uchaguzi wenu nilikua ninakuja Nairobi, nimeacha kwasababu ya fujo Zenu za Uchaguzi, Professor Mwabora hapo Nairobi University department of Physics huwa ninamchukulia 50Kgms of rice in my car whenever I come there, Kenya hiyo nimeizunguka sana, mkishatulia kidogo nitakuja tena, nitakutafuta nikuletee mchele wa Kyela na wewe pia.
Hehehe...acha tu ni cheke. Basi Nyerere must have been drunk while saying thisKichwa yako ni mbovu wewe, kati ya wakenya na watanzania, ni nani wanaotaka kwenda kufanya kazi na kuishi nchi ya mwenzake?, sisi huko tunaweza kuja bila passport na kufanya kazi bila work permit, ila ninyi hamuwezi kuja huku bila passport na work permit, kama ilivyo vigumu kwa waafrika kwenda Europe, mkenya akifanikiwa kuja bongo, wachache sana wanarudi Kenya.
Huyu ndiyo yule Mjamaica au nan huyulupita Nyongo..true kenyan and very beautiful...No Tanzanian can reach her limits with your poor EnglishView attachment 681197 View attachment 681198 View attachment 681199 View attachment 681200
Whether kuna watanzania kumi, laki mbili au milioni moja sio hoja. The most important thing is that watanzania wanaoishi kenya wanafanya kazi ya omba omba na ugangaKenya nzima haiwezi kuwa na watanzania zaidi ya laki200, kama una evidence lete tuone, zaidi ya hao ombaomba na wavuvi toka Pemba, na wachaga hapo Gikomba, ni mtanzania gani anayejitambua anaweza kuja huko?, ninyi wenyewe mnakimbia nchi yenu kutokana na ugumu wa maisha na usalama mdogo.
Wacha maneno wewe, mnaishi katika nyumba za kupanga, all big houses belong to rich few, you either rent an appartment if you have good income, or you live in slums, who doesn't know you?
Hujui lupita....chanuka buda kwani unatoka manzese nini???Huyu ndiyo yule Mjamaica au nan huyu
Hapo Toure drive karibu na Yaya Centre kuna kampuni inajishughulisha na kuuza vifaa vya metal detectors, ni American Company, unaweza kuja April nitakuwa hapo, uje uchukue mchele wako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata ujaribu vipi hapa hauwezi convnce mtu yoyote, nakumbuka kuna ili mada nyengine ililetwa na MTanzania akielezea aliyoyaona alipofika nairobi na wewe ilikua ukijaribu kila juhudi kumkana na zako za sijui 'wakenya ni wakabila, roho chafu, wabaguzi, wanauana" ...yani typical tanzania stereotype, Kenya unajua kwa picha na magazeti tu! Watanznia walio kaa kenya tlutawajua tu hata bila kuuliza kama alifika kenya, ukisoma maelezo yao kuhusu kenya hua unaona details zao ni za kweli kabisa... Lakini wewe hata sidhani kama ushawahi kukutana na mkenya in real life, hata huko bongo!!;
Mtz ama mgeni yoyote ambaye amefika na kukaa nairobi utajua kama kweli amefika within two minutes baada ya kusoma maelezo yake
Haya bana kazaliwa Nairobi au siyo.Kazaliwa wapi vile??Hujui lupita....chanuka buda kwani unatoka manzese nini???
Hiyo ni kuonyesha kwamba, nchi yenu ni hovyo, ni watu wasiokuwa na faida wala wenye akili timamu anaweza kuja huko kwenu, huku tunawapokea investors, interlrctuals na professionals kutoka Kenya and others countries, wao ndiyo wanachagua kuja Tanzania kwasababu wanajua ni nchi wanaweza kuishi na kufanya kazi, ipo na vigezo vyote vya wao kuishi, Kenya ina vigezo vya omba omba kuja kuishi huko, nchi yenyewe ni omba omba.Whether kuna watanzania kumi, laki mbili au milioni moja sio hoja. The most important thing is that watanzania wanaoishi kenya wanafanya kazi ya omba omba na uganga
Vipi mtanzania akija Kenya mnamchukuliaje?mtanzania akisema anatoka Nairobi kuna kaheshima flani anapewa hahaha hata kama ni mskuma mkokoteni gikombaa....
Naona bado upo usingizini endelea kulalamtanzania akisema anatoka Nairobi kuna kaheshima flani anapewa hahaha hata kama ni mskuma mkokoteni gikombaa....
S.A., Zambia,Tanzania national anthem zafanana...Meza WembeTanzania even copied south Africa's national anthem rhythms....hahaha........