KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
NSSF tower 22flrs
Twende kazi alikua kijana sasa tumeingia wazeemko wapi tena.....
Tulia kwanza hawa jamaa hawachelewi kusema tumerudiaViva tower 21 floors dsm
View attachment 487724
Akijibu ndo nitaweka viva A na B ila tukiingiliana hawachelewi kutoa sababuViva tower 21 floors dsm
View attachment 487724
Poa komaa kijana ukizidiwa tuambiee wazee tuingieAkijibu ndo nitaweka viva A na B ila tukiingiliana hawachelewi kutoa sababu
Kuna ile twin towers iliopo kule posta upande wa baharini ukumbi gan sjui ulePoa komaa kijana ukizidiwa tuambiee wazee tuingie
Ushirika tower au 20 floorsKuna ile twin towers iliopo kule posta upande wa baharini ukumbi gan sjui ule
Ukumbi unatumiwa na wanachuo wa IFM kule
Jina ya lile jengo ni lipi