NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,137
- 19,394
Just go back to liking dumb posts AMARII.Point of correction..
Kwa case ya Rostam, amezaliwa Usukumani, na kachunga Ng'ombe tu huko na wenzie wasukuma kabla ya kuanza shule... Na hata kipindi Cha likizo. So, sio kwamba amejifunza kuongea Kisukuma..
Ila ndio maisha yake kama Msukuma.
Sasa tengeneza swali lako kupitia muktadha huo .