Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By the way mambo ya FIFA Ranking mliachana nazo?🤣🤣😂
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years 😂😂😂 wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME 😂😂
 
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years 😂😂😂 wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME 😂😂
FIFA wanasemaje kwa rankings zao?🤣🤣😂🤣
 
ningekua mm ni wewe ningeona aibu 😂😂😂 using a 10 year old match as reference 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aibu ni kwamba you've not beaten our senior team since then. Tumekuwa tukiwanyorosha kama wanyonge mlivyo hadi leo
 
kwahio Teargass all the noise za AVA na Master imekuaje tena 😂 😂 ni kama your diverting away using sports, hatujamalizana uku
 
Nyinyi ni customers wetu since 2010 when you last tasted victory against us and it was a friendly match View attachment 3647248
1786290692458.png
 
Back
Top Bottom