Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,053
- 17,758
Unataka tuongelee raga? 🤣🤣volleyball ni sports ya kuongea mbele za watu?
Unataka tuongelee raga? 🤣🤣volleyball ni sports ya kuongea mbele za watu?
nyoa vizuri sasa
Sports zinazojulikana you always end na ZERO pointsUnataka tuongelee raga? 🤣🤣
yaani makelele yote kumbe kampuni la watu 😂😂
Kuna nywele bado umebaki nazo? Leo nakunyoa proper😂😂🤣👇👇hapana nliona akiuliza kuhusu clans
View attachment 3647219
hujamaliza kunyoa tu?
Bado una mindset ya kizee, dunia ya sasa your background doesn't matter that much ukiongelea suala la Nationality. Obama is an American, he is not Kenyan, he has never been one and he'll never be one. He's just an AmericanHe is a Kenyan by origin and a American by birth.
sio kwamba hajui ni denial inamsumbua just relax tunataka asikimbieBado una mindset ya kizee, dunia ya sasa your background doesn't matter that much ukiongelea suala la Nationality. Obama is an American, he is not Kenyan, he has never been one and he'll never be one. He's just an American
Kwa mfano people from my tribe wali migrate kutoka South Africa na kuja kusettle Tanzania from 1820-1840. Does that make me South African? No... Not even a little bit. I'm now a pure Tanzanian in every imaginable way. Hiyo ndio same case na Black Americans au White South Africans. Nationality na tribal background ni vitu viwili tofauti sana.
So yeah, Mo Dewji is a Tanzanian and Obama is not Kenyan. Wewe endelea kusema sijui by origin, Nonsense. No one cares
Hata mimi naona ni kampuni ya watu🤣🤣😂👇👇yaani makelele yote kumbe kampuni la watu 😂😂
View attachment 3647221
kazi ya kunyoa imekushinda?
basi makelele yote nkajua basi likampuni limetoka ndan ya kenya 😂 😂 😂 inshort i thought it has origins from kenya 😂😂😂😂😂
Is this a Kenyan or not?😂😂🤣👇👇Dunia ya sasa your background doesn't matter that much ukiongelea suala la Nationality. Obama is an American, he is not Kenyan, he has never been one and he'll never be one. He's just an American
Kwa mfano people from my tribe wali migrate kutoka South Africa na kuja kusettle Tanzania from 1820-1840. Does that make me South African? No... Not even a little bit. I'm now a pure Tanzanian in every imaginable way. Hiyo ndio same case na Black Americans au White South Africans. Nationality na tribal background ni vitu viwili tofauti sana.
So yeah, Mo Dewji is a Tanzanian and Obama is not Kenyan. Wewe endelea kusema sijui by origin, Nonsense. No one cares
mbna mm sjafanya kosa lolote nawapostia uwanja wenu au hamtakiLabda liko hapa 😂😂😂😂
View attachment 3647229
Kama football sio?🤣🤣Sports zinazojulikana you always end na ZERO points
😂😂 kwan hujui kuna watu wana double citizenship madameIs this a Kenyan or not?😂😂🤣👇👇View attachment 3647230
Kwani ameachana na mambo ya citizenship tena?🤣🤣😂🤣👇👇basi makelele yote nkajua basi likampuni limetoka ndan ya kenya 😂 😂 😂 inshort i thought it has origins from kenya 😂😂😂😂😂
Kwani nywele zishakuishia na bado sijamaliza kukunyoa?🤣🤣😂👇👇😂😂 kwan hujui kuna watu wana double citizenship madame
Mbna tumecheza last 2 months ama hauna mtokeo mengine zaidi ya hayo miaka 8 nyuma?Kama football sio?🤣🤣View attachment 3647232