Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna tumecheza last 2 months ama hauna mtokeo mengine zaidi ya hayo miaka 8 nyuma?

View: https://www.youtube.com/watch?v=k3YttfNFnxc&pp=ygUWa2VueWEgdnMgdGFuemFuaWEgdSAxNw%3D%3D

Who cares about under 8?🤣🤣😂🤣👇👇

1786288615138.png
 
Mbona mwenzako anakazana sio mkenya?😂🤣😂
kwan kuna mtu kabisha, 😂😂😂 kwan hata wewe huezi kuomba citizenship ya uganda na ukapewa ili biashara zako ziende 😂
 
Hawa wanyamwezi mara ya mwisho walitushinda ni 16 years ago tena ilikuwa ni mechi ya kirafiki 😂😂
ningekua mm ni wewe ningeona aibu 😂😂😂 using a 10 year old match as reference 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
ningekua mm ni wewe ningeona aibu 😂😂😂 using a 10 year old match as reference 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Haya tupee any match your senior Team defeated Harambee stars🤣🤣😂
 
By the way mambo ya FIFA Ranking mliachana nazo?🤣🤣😂
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years 😂😂😂 wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME 😂😂
 
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years 😂😂😂 wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME 😂😂
FIFA wanasemaje kwa rankings zao?🤣🤣😂🤣
 
ningekua mm ni wewe ningeona aibu 😂😂😂 using a 10 year old match as reference 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aibu ni kwamba you've not beaten our senior team since then. Tumekuwa tukiwanyorosha kama wanyonge mlivyo hadi leo
 
Back
Top Bottom