kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
mpaka hapo tushafunga mjadala kuhusu gharama ya bei ya vyakula nchini kwao na kwetu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya maisha ni magumu sana. Huwezi ukaishi kwa raha. Ndiyo maana chakula ni low quality.
Mchele kilo moja ya mchele 153 x 20= 3060. Na hiyo ni bei ya sokoni. Huku sisi sokoni unapata mchele mpaka wa 1400Tsh