Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
kujia tu buda...njoo tz tufanye biashara.nakujia tilapia...unauza kilo bei gani? bei ya wholesale lakini
si biashara.... nataka kula tu....napenda sana samaki...nilijaribu kuku wa grade nikapata hasara kubwa sana...ila samaki inaweza kuwa biashara nzuri...umefikiri kuuza Nairobi?kujia tu buda...njoo tz tufanye biashara.
Wee nawe,kwani ni competition.while one of them is bragging to show us three unhealthy cows he owns in a village, me and my business partner saw a huge opportunity in fish farming business and decided to invest our money and time on it.
thanks God, the project is going very well.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
NB:
this is tanzania, a country blessed with many endless opportunities.
think twice if you think you know me or you saw me somewhere.![]()
![]()
![]()
kwa sasa sijafikiria kuuza nje ya tz, nauza kwa wafanyabiashara wenye mahoteli na migahawa ya vyakula hapa hapa tz. inshallah mungu akipenda tutauza kenya.si biashara.... nataka kula tu....napenda sana samaki...nilijaribu kuku wa grade nikapata hasara kubwa sana...ila samaki inaweza kuwa biashara nzuri...umefikiri kuuza Nairobi?
anafuga ving'ombe vitatu vilivyokosa afya.Wee nawe,kwani ni competition.
fanya yako ya samaki,collo naye a deal na tea.

kilo jijini Nairobi ni bei nzuri sana kwa mfanyibiashara...unaweza leta Gikomba market ukasambazia wauzaji kwa bei nafuu...kwa sasa sijafikiria kuuza nje ya tz, nauza kwa wafanyabiashara wenye mahoteli na migahawa ya vyakula hapa hapa tz. inshallah mungu akipenda tutauza kenya.
having 3 grade cows and a tea plantation is equally goodkwa sasa sijafikiria kuuza nje ya tz, nauza kwa wafanyabiashara wenye mahoteli na migahawa ya vyakula hapa hapa tz. inshallah mungu akipenda tutauza kenya.
yap especially since tea is a hotcake in Kenya...milk is also a good investmenthaving 3 grade cows and a tea plantation is equally good
having 3 grade cows and a tea plantation is equally good

yap especially since tea is a hotcake in Kenya...milk is also a good investment
acha wivu....acha kuniharibia plans za kusafirisha samaki kenya.but most Kenyans from western and nyanza hate fish from ponds.......that's why they will investigate where the fish comes from before they buy.....Jay enda kwa mama Oliech ama Ranalo upate original fresh fish from lake victoria

Umesahau hii ni battle eehWee nawe,kwani ni competition.
fanya yako ya samaki,collo naye a deal na tea.
kuna ule alipikia Mark zuckerberg samaki...huyo ndio mama oliech amabut most Kenyans from western and nyanza hate fish from ponds.......that's why they will investigate where the fish comes from before they buy.....Jay enda kwa mama Oliech ama Ranalo upate original fresh fish from lake victoria
ikifika mahali wanaume wanashindania hustle hio inageuka na kuwa utoto...men should support each others hustles...sio unafiki kama wanawake...wacha umama broUmesahau hii ni battle eeh