Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maku east africa ernegy hub ni tanga,utaumia lakini hali halisi ndio hiyo,$20 bilioni inakuja tanga,refinery inajengwa tanga maku,au kwa akili yako kisoda $20 bilioni itajenga refinery hoima halafu hiyo hiyo itafanya tanga kuwa east africa ernegy hub,mou iliyosainiwa jana inaihusu tanga maku ww
There is no $20 billion coming to Tanga or even Hoima.
There is only a $2 billion MOU with Vitol for the refinery in Hoima and storage tanks in Tanga.

Hii $20billion ni aspirational.
The total investments you hope the project will attract over time.
 
hatuwezi fanana alafu jitahidi kulipia AI mara moja moja
View attachment 3645389
And you actually believe it 🤣🤣🤣
Kwamba mtu anaishi sixth or tenth floor anatumia pit latrine?🤣🤣🤣
In an environment like this you expect people to use pit latrines?
images - 2026-07-04T131240.631.jpeg

images (61).jpeg
images - 2025-02-18T173412.342.jpeg
 
Hiyo $2B ni yako na Mama Ngina sisi tunajua hesabu zetu. Na wala hatukulazimisha.
Ni yangu, Mama Ngina na Museveni.

Straight from Uganda State House.

Kwanza wameita Tanga storage 'complimentary'.
Alafu sijui kama nitakutupa juu ya kingereza, but jina 'potential to attract' haimaanishi kuna pesa mmeahidiwa 😂😂.

ug1.JPG
ug2.JPG
 
View attachment 3645399View attachment 3645400
usiwe unaruka ruka sasa
1786115450165.png
 
Ni yangu, Mama Ngina na Museveni.

Straight from Uganda State House.

Kwanza wameita Tanga storage 'complimentary'.
Alafu sijui kama nitakutupa juu ya kingereza, but jina 'potential to attract' haimaanishi kuna pesa mmeahidiwa 😂😂.

View attachment 3645399View attachment 3645400
Haya tuambie hiyo $2B ulizitoa wapi?
 
Back
Top Bottom