stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,834
- 37,330
kuna uwezekano huo because i saw that video nliwaonea huruma sana, imagine unaona maji seasonal na yakija mnapiganaNorthern Kenya is one of the poorest regions in the world
Can you prove this claim?Northern Kenya is one of the poorest regions in the world
Can you prove this claim?
As usual 😂 😂 😂Old photos
Imagine wamejazana kwenye kambi ya wakimbizi kakuma wakijifanya wakimbizi kisa njaa.Northern Kenya is one of the poorest regions in the world
ila hawa jamaa upande wa NOrth hali ni mbaya, nlishawahi kuona video watu wanapigana baada ya kuletewa maji, nliwaonea huruma sana
Hutak achaSo this is the proof you have? No data!👟😂
Ooh please. Which proof do you wantCan you prove this claim?
We fala umekimbia ndio unarudi leo.? 😂😂😂. Ulinikimbia tangu siku ile.? Kama hujawahi kuingia kwenye uwanja wowote tafadhali naomba usijadili hili swala, ni vyema ukae kimya.Bongolala hakuna stadium yenye iko na VIP seats on the lower tier. All stadiums have VIP seats located in the middle tier. Check out the seating arrangement in major stadiums around the world unitajie (with evidence), ni uwanja gani iko na VIP seats on the lower tier.
Wengine wetu tuko na kazi za kufanya Nyamwezi. Unataka tushinde humu 24/7 kama nyie msio na vitu za kufanya?We fala umekimbia ndio unarudi leo.? 😂😂😂. Ulinikimbia tangu siku ile.? Kama hujawahi kuingia kwenye uwanja wowote tafadhali naomba usijadili hili swala, ni vyema ukae kimya.
Ooh please. Which proof do you want
View: https://youtu.be/0EK6NGmahRw?is=yRVJpyrKd6DfffTw
View attachment 3642539
Ooh please. Which proof do you want
View: https://youtu.be/0EK6NGmahRw?is=yRVJpyrKd6DfffTw
View attachment 3642539