Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunduru District, Ruvuma Region ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Your browser is not able to display this video.
 
Kitu kingine kuhusu Tanzania
Tuko na Greenery everywhere
Kuanzia North, East, West, South, visiwani (Zanzibar & Mafia)
Only place ambayo haukuti greenery ni some parts of Central Tanzania na mikoa kama Shinyanga na Simiyu ambayo nayo sio kame kama very large part of Kenya
 
Mtu anioneshe mlima wowote ule wa Kenya ambao ni mzuri kuliko Mlima Ol Doinyo Lengai ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ