Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili suala kiukweli linaniuma sana, hizo kingo za barabara zilivyo nzuri halafu wasenge wanazikanyaga kama wanavyotaka, kiukweli mimi ningeshauri wawakamate malofa wote wanaofanya huu utovu wa nidhamu na kuwatoza faini na kuzijenga tena hizo kingo..
kwa mfano pale airport wamepanda majani vizuri tu na yameota pakawa if azuri mno, ajabu kuna mafala wanaovuka kwa miguu wanakanyaga zile bustani bhana. Sasahivi hapatamaniki.
 
itakuwa watu wa malori!
 
Tanzania iko na vitu vizuri hadi majirani wanaviclaim ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
True definition of Blessed land ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kilimanjaro is best viewed in Kenya.
The view from bongolala side haina tofauti na Rurimeria Hills ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Amboseli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ