Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kibera ni slum no 3 duniani,nyie maku wachafu,hapo bado mmezungukwa na slums kila eneo,kwa mfano ile pipeline ni slum ya kujitakia,majengo mazuri ila uchafu kama wote
 
Kwa sisi wa jiji la marathoni mpaka tunamlaumu tanesco kwanini hawazimi umeme, tunataka tuone Radha ya kutongozana gizani, huwa tunakaa mpaka miezi sita bila hata kublink
saaahv mpaka wanakera 😂 😂 yaani kuna mda unakosa cha kufanya na umeme unasema ebu kateni basi alafu ndo kwanza unaskia wako site kwenye ile transmission ya chalinze
 
Si ndo maaana budget yao wamesema watakopa kulipa madeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…