concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Kutype hivi vyote just so you can defend a foolish argument? So you want to say a chips seller in Dodoma saves kes 62,500 Minimum after all deductions and household expenses! Ile TZ moja tunaijua ama kuna branch ingine? Hebu nikukbushe Per capita yenu tena😅
Boss rudi shule for the sake of your own business.. clearly you are reaping where you didn’t sow.. hio ni biz ya chipo ama ni wash wash
To make a net profit of how much ?Elimu yako ni levele gani? Unaelewa maana ya miscellaneous expenses? Nimekuwa major cost ya kupika chips ambazo ni umeme,viazi , mafuta, kachumbari basi kwanza nikuongezee na kumenya na kukata ambayo kwa ndogo ya 10 kg ni 500 . Hizo major costs
Ukijumlisha zote plus profit range ya 500 bado kuna remaining balance ya 700 ambayo miscellaneous . I mean costs zote ambazo haziko reflected na nyingine ni variable na bado haziwezi fika hata 300.
Hiyo 500 ni profit baada ya expenses zote ikiwemo na salary yako .
Kuuza plates 150 za chips ni normal sana ila shida yenu mnafanya biashara kwa kufikiria business plan.
Letsay wewe leta major cost ambayo haiko included hapo..
Sisi kazi yetu ni kuwaelimisha tunajua mko nyuma sana kifikra
To make a net profit of how much ?
Are you deviating from the initial answer? I had to school you that there are expenses which you had not mentioned for you to even remember, ni anaye elimisha mwingine?
In Kenya they demand payment, in Tanzania they kneel down and kiss Mama …yaaani ukiwa Naislum ushindwe tu wewe kuwapiga hawa madogo wajinga kama kina kennedy0000
View: https://x.com/Kenyans/status/2082356885101883681?s=20
Uwe unasoma bila kukurupuka from the start nimesema profit per plate kwa tz ni 500 , cost of purchase sack ni 75,000 hakuna transport cost sababu huwa distributed na wauzaji , rudia kasome post za nyuma utajifunza zaid sio unakuja kurupuka mwishoniTo make a net profit of how much ?
Are you deviating from the initial answer? I had to school you that there are expenses which you had not mentioned for you to even remember, ni anaye elimisha mwingine?
Kuna sehemhata serikali inasahau zipogo 😂
we mwenyewe unavoona kuna cha kudebate apa? 😂In Kenya they demand payment, in Tanzania they kneel down and kiss Mama …
We can debate on that ..🤪
challenging authority is norm .
indeed 😂😂😂 What's wrong with it?
It looks like Darslum, but only better planned because I can see grids and road provisions.
Umeaomea shule gani hio?Poor in terms of what define poverty kwa uelewa wako.
Buda wewe hujawahi fika Tanzania Mimi nimekaa Kenya nimesoma Kenya naijua Kenya kuliko hata wewe unavoijua Tanzania , wewe umetembea mara moja Mimi nimekaa zaidi miaka sasa nani anapajua zaid
Baada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
mnaweka lini tena mabango ya wale protesters?challenging authority is norm .
If Mama declared such a move , then that would be the law .
Please restrain yourself from quoting things democracy . You don’t qualify in that arena.
Ndo naifanya sasa wewe tuambie cost gani imesahaulika na nyingine nyingi za vyakulaUmeaomea shule gani hio?
Vision 2050 ni uchumi wa $1TrillionBaada ya miaka miwili exports za Tanzania zitakuwa twice zile za Kenya.
Tanzania lazima itafikia 25bil usd ila hawa wenzetu wamestick kwenye hiyo 13 almost kwa miaka miwili sasa
kuna sehem ata ruto akiulizwa anaweza sema hayuko sure kama ni kenya 😂 😂El Wak Town, Northern Kenya
Towns kama hizi zimejaa huko Northern Kenya 😂😂
View attachment 3639429View attachment 3639430View attachment 3639431
Hawa ni wavivu wa fikra sanakuna sehem ata ruto akiulizwa anaweza sema hayuko sure kama ni kenya 😂 😂
una results gan za kuonyesha madame?We have different problems, na unasahau the results speak for themselves?
Kibera utaitafuta miaka saba hivi uikose.
Nyinyi endeleeni kujenga cone houses, sisi tutajengea slumdwellers their own highrise communities.
Wakenya wanaojiweza wataendelea kujisort kivyao.
All types of constructions are booming in Kenya.
Single houses ndio zinajengwa mingi kuliko ata apartments, but they're private and we don't post here.
some places are hard to explain even after watching videos 😂Hawa ni wavivu wa fikra sana