Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 unaumia kama nimekutoa kidole. Huo ndio ukweli. Hata kama huupendi.
 
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots 😂😂
Can I list best Universities in East Africa utuambie za Tanzania ni ngapi na za Kenya ni ngapi?
 
I have always wanted mtu ambae angerecord nyuma ya zila jengo za westlands, finally we have one 😂😂 apa huezi amini usiku ni bus stand



Kumbe saaahv hadi mchana ni stand 😂😂 imprvements
 
😂😂😂 unaumia kama nimekutoa kidole. Huo ndio ukweli. Hata kama huupendi.
Just answer my question please, you didn't step into any university, what level of failure should I put you if the normal failures are going to study in India, China and Kenya.😂🤣🤣
 
Vyuo kibao vinajitangaza kila mwaka. Kenyans in this thread think their Universities are special 😂
Your browser is not able to display this video.
 
A first year Student is telling me that I don't know anything about Universities? Otek small😂😂🤣
Of course you don't. Hujui nini kinawasukuma wanafunzi wa Tanzania kusoma nje ya nchi. Huelewi kabisa
 
Kumbe hata kusoma majina ni shida wapi sasa umeprove kuwa nimesema nauza mbuzi🤣🤣🤣🤣
Two people kwa ID tofauti , sasa huoni na Leo nimekuabisha tena
Wewe ndiye uliingilia mjadala sii wako. Teargass alimjibu Traveller D wewe ukajiingiza kama vile ulijiingiza kwa mjadala wangu nikimjibu huyo huyo Samaboy. You have an esteem problem.🤣🤣
 
You are idiot. Unaingilia mijadalq sio zako. Wewe endelea kuomba mapicha WhatsApp.

Wewe nishakuambia ni maskini na hata nusu huwezi fikia , the last time nimekuoa challenge tu ya business ukachemka , hata passport yenye muhuri mmoja ukachemka, njaa zinawasumbua, 🤣🤣🤣🤣
Sasa kama bado unategemea kuwekeza kwenye saccos ndo utoke utajua biashara lini , njoo mfundishwe biashara muachane na njaa , north eastern Kenya kuna fursa kibao wachina wanaenda kuziina mmekalia kulialia njaa na ruto.
Mtaendelea kujilinganisha na tz wakati wenzenu daily wamove kwa spidi kubwa.
,🤣🤣🤣🤣
 
Hawajui jinsi competition ilivyo tight. Wao wanadhani Watanzania wanakuja Kenya kusoma eti kwa sababu wanataka superior education. Entitled idiots 😂😂
Competition ni tight hadi wakati wakati wetu sisi kulikua na batches 5 za kuomba udahili.. kuna watu waliomba chuo mara tano, mara nne za awali hawakua wamechaguliwa. Tena kwasasa competition ndio imekua hatari sana mana watoto wengi wa siku hizi ni wasomi.
 
kote uku ni westlands



people never believe when i tell them ni stendi hii tena kubwa, in tz you are talking of Magufuli stand





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…