REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,642
- 11,603
Any news kuhusu mstakabali wa huzo behewa?Kuna mambo ya kimkataba kati ya TRC, Muuzaji na Broker waliyemtumia. TRC walivunja mkataba na dalali wa Turkey mabehewa yamekwama Ujerumani locomotives 2 na behewa 24 out 30 bado hazijakuwa delivered