Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uzuri sisi tunawajua vizuri 😂 😂 alafu mwingine anapost uhalisia mwingine anapaka filta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, btw sisi ndo tulikua wa kwanza kuwaambia the grass is fake mkaendelea na filter mpaka nyasi zikatolewa 😂😂

1784970542677.png


1784970631863.png


1784970642758.png


1784970656735.png


1784970666088.png


1784970687902.png


1784970704035.png


1784970720641.png
 
Hatuna hela ya kuangalia mpira wakati tukijaza uwanja wakati wa Chan mlishindwa kufanya hivyo
Nani hafahamu tickets mlikuwa mnanunuliwa na wanasiasa huku mkivunja mageti ili muingie bure washamba ninyi. 😂😂😂
 
Kwanini hawa kenge wasikwangue tabaka lote la juu la udongo hapo uwanjani halafu waweke udongo mpya ndio wapande nyasi upya!?
Hapo watakuwa wanacheza na sprays tu... Siku ya mechi uwanja green... Afta 3 days uwanja brown na vipara kibao.
Unaambiwa ni first technology kuwahi kutokea Africa. 😂😂😂
 
Jamaa wana ufala mwingi sana... Badala ya kufanya treatment ya udongo wanakazana tu ku spray na kumwagilia maji. Hakuna matokeo ya maana hapo.
Mazao ya kilimo tu wameshindwa kuotesha ndo itakua hizo nyasi, saaahv wanapiga deodorant
 
Back
Top Bottom