AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,303
- 3,242
jana nimemwambia ivi, ningekua mm ni yeye saaahv ningekua nalia because the only client they have anaenda kutia saini sehem ingine 😂😂
View attachment 3635355
View attachment 3635356
meanwhile sisi uku tuna SADC nzima plus EAC
Tunawapumulia kisogoni na bado hawashituki. Badala wawaze mambo yao wako kuhanaika na mambo ya watu.
Ndio shida ya kuishi kwenye maisha ya uongo uongo na propaganda kwenye ulimwengu wa kidigitalii... Intelligence service yao ndio kifo Cha mende hivyo ndembee ndembee.... Wamejiweka kwenye kupandikiza chuki tu saiv... On ground wameshalowaaa