Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No Kenya league can fill a quarter of the Tanzania league, na ndo maana one of the top 10 paying leagues in africa , tz ipo ila Kenya hata top 15 hampo, ikiwa na maana hakuna revenue
 
Usikimbie swali onesha any Kenya match basi Mimi nakuewekea hata za clubs zenu plus national team versus taifa stars , leta match mliyowahi pata collection ya atleast 10mil ksh🀣🀣🀣🀣
Wanavyosemaga Watanzania huangalia Simba na Yanga tu kwani hizi sio timu za mpira. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hili choko linaongea nini.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaijua sheria ya mtu mgeni kumilikii ardhi Tanzania.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hatuuzii wageni ardhi ili wajenge makazi binafsi sisi. Sisi sio nyinyi.
Naona nimewapiga na kitu kizito sasa mnaitafuta faraja.
 
So Tatu City unalinganisha na Dodoma, Arusha and Kwala industrial park at once? Si mtafute place moja ya kulinganisha na Tatu? Ama Dodoma ameishiwa hewa?πŸ˜‚πŸ€£
Wewe mimi nadhani ungeanza kwanza kutawaza kwa maji ili upate akili. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shamba boy
 
Haha huwa ni watu wakuropoka tu, Toka lini mgeni akawa na uwezo wa kumiliki ardhi tz
 
Wanavyosemaga Watanzania huangalia Simba na Yanga tu kwani hizi sio timu za mpira. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi namvuta taratibu nilitaka twende tuanze kulinganisha mahudhurio ya mashujaa versus gor mahia🀣🀣🀣🀣
Halafu angejua kuwa mashujaa unalipa vizuri kuliko hata hiyo gor mahia au fc leopards , sasa sijui hela wanatolea wapi
 
Ligi kuu ya wanawake bongo ina mashabiki na wadhamini wengi kuliko ligi kuu yao ya wanaume. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu tuonyeshe the amount collected in Makwapa between Taifa stars Vs Morocco. Just post the evidence here.
 
Wewe mimi nadhani ungeanza kwanza kutawaza kwa maji ili upate akili. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ shamba boy
The day you will get out of the bush kule Tanga I think utajanjaruka, as of now ushamba ndio imejaa nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…