COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
NAKURU
Google Maps
Google Maps
KAT ni gari ya mwaka gani...kwa barabara hamfiki kenya,ni vile hatupendi kupiga pics za single lane roads.Acha uongo wewe.. Kenya barabara nzuri zipo mjini tu Za kwenda mikoani ni hovyo kabisa.. Hamuwez kushindana na Tz kwa barabara za viwango vya juu za kwenda mikoani.. Ukizingatia Tz ni kubwa Mara 2 ya Kenya lakini bado tumendaza lami yenye ubora na kiwango zaid yenu..
Eb ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
jf inaruhusu ku-upload 360 degree images?.360 degrees buda????
elimu ya kenya ni janga la EA[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa nilimpuuza tu.
hawa New members lakini....lol.Hapa kwa magari tuliwacharaza around July 2017. . .nenda archivesWorlds' Expensive cars in Tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
hawa New members lakini....lol.Hapa kwa magari tuliwacharaza around July 2017. . .nenda archives
unatuma link enye itatuelekeza kwa google maps..ama simu yako ovyojf inaruhusu ku-upload 360 degree images?.
mbona unakuwa kama kuna akili. smh.
if jf allows 3D 360 degree,start by uploading images from nairobi then tag me.[emoji23] [emoji23] [emoji23]