Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20260717-121212~2.jpg

Hahaa ebu tuletee 40km Toka city center ya nairobi
Screenshot_20260717-121124.png
 
ikiandikwa mbezi inamaanisha iko mbezi ama ina operate to mbezi 😅😅😅
dereva mwenyewe anasema huku ni Dar 😅😅
Alafu nilifikiria mnasemanga dar ni kubwa so it shouldn’t matter how far from Dar it is, kumbe hadi vichaka mnaitanga Dar?

View: https://www.instagram.com/reel/DaH8rVHIm34/?igsh=YWNqeTY4aWhnMDFk

Kwahiyo nikiandika labda Nairobi to Mombasa nakuwa namaanisha kuwa basi linaoperate Nairobi tu?
Mbezi ni dar ndio ila linaoperate kutoka mbezi kuelekea mpakani mwa dar na pwani.
 
ikiandikwa mbezi inamaanisha iko mbezi ama ina operate to mbezi 😅😅😅
dereva mwenyewe anasema huku ni Dar 😅😅

Alafu nilifikiria mnasemanga dar ni kubwa so it shouldn’t matter how far from Dar it is, kumbe hadi vichaka mnaitanga Dar?

View: https://www.instagram.com/reel/DaH8rVHIm34/?igsh=YWNqeTY4aWhnMDFk

Dar Iko na above 1000 square kilometer bila kuwa na forest reserve vipi kuhusu Nairobi ambayo ni robo ya dar na bado Iko na unpaved roads na slums kibao🤣🤣🚭
 
Back
Top Bottom