Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba ifungulie uzi hii thread, tusikie wanasemaje, hawa jamaa hawana kitu zaidi ya mdomo mtupu
Is democracy on the decline in Kenya?
acha nikachukue screenshot then niilete hapa.

nimegundua siku hizi hakuna sababu ya kuanzishia thread kila kitu kuhusu kenya.

huu uzi ni mkubwa sana na unatembelewa na watu wengi kuzidi hata thread zingine.

kila kitu kinaletwa hapahapa kwenye thread yetu pendwa ili wanaotembelea wapate kusoma.

wanakasirika sana tunapoleta screenshot zinazo zungumzia issues mbaya za kwao. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Point kuu ni,kama mko wengi mnatakiwa kuchangia zaidi kinyume na hapo ni failure wala sio kusingizia uchache vinginevyo Rwanda nao wangekuwa Lower Middle
 
Haaa! Mzee mm niko neutral ila upotoshaji ndo sikubaliani nao,afu kama kuna project au anything on our side kwa maoni yangu naona hakiko sawa siwezi kukubaliana eti kwa sababu ni cha nyumbani,let say chato airport naanzaje kuunga mkono kwamba in eco viable?
 
Kama ambavyo pamoja na uchache wenu lakini hamuwezi kujitosheleza kwa chakula, mnategemea kulishwa na Tanzania yenye watu wengi zaidi yenu,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dar coach wanatengeneza Mabasi ya Jeshi

 
Songwe na Mwanza zitaisha lini,toka enzi ya mkapa,hivyo navyo hakuna haja kama swax? Ila haja ipo chato,,turudi tu kwenye battle
mwanza iko under construction na juzi nilikwenda huko na bahat nzuri ni kwetuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

kujenga airport sio sifa kwnza uhakikishe je itanufaisha watu kwa wakat huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…