Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nina opinions tofauti kidogo mkuu.

JPM ni sawa alijenga barabara kwenye DMDP I, ni jambo jema lakini kwa mtazamo wangu jamaa alijenga barabara maeneo mingi kimakosa, hatukupaswa kujenga barabara za lami kwenye mitaa ambayo haijapangwa (Tandale, mbagala, mwananyamala, mabibo, manzese, maeneo mengi ya makumbusho n.k) ni kama kurasimisha ukuaji holela wa hayo makazi, badala yake angefaa kujenga barabara kwenye maeneo ambayo tayari yalishapangwa lakini yalikosa miondombinu ya barabara kama vile ilala, Magomeni, some streets of kinondoni, some streets temeke, Mikocheni, Mbezi beach and of course na Sinza.. kujenga barabara vichochoroni tena njia za makona kona (nyingine nyembamba mno) ni kurasimisha hayo maeneo ambayo kimsingi tunafaa kuyavunja yote na kuyapanga upya then yapate hizo barabara n.k.

DMDP II nimeshuhudia wanajenga hayo maeneo niliyoyataja hapo, ila yalisahauliwa au kuachwa kwenye DMDP 1.

Kwa barabara kubwa alizojenga jpm za kuunganisha jiji nasapoti ila hizi za ndani ya mitaa ya uswazi kiukweli kwangu mimi it’s a big NO. There’s is no way tunaweza kurasimisha uswazi in the city of Dar es Salaam.
At least yeye alifanya hayo makosa,waliomfuatia wamerekebisha makosa yake au ndio imeisha hiyo,kingine tusidanganye hizo uswazi zilianza kusambaa miaka ya 80 leo ndio kupo vile,je hii miji mipya ya sasa serikali inasimamia plan nzuri ya ujengaji ndio uswazi ya miaka 20 ijayo,ukiangalia sasa hivi watanzania wanajenga nyumba nzuri mno,ila bila plan ya mitaa,unakuta nyumba hii imegeukia nyingine kule,mwingine
PXL_20251221_140653433.jpg
 
Semi final 2 inapigwa kwenye uwanja unaofanana na Arusha stadium!

Relax panyaz.....
Bro, mnajiabisha.
Mercedes Benz stadium is a curved Bowl with a flat top stadium - just like Talanta. Arusha stadium is a curved Bowl with a curved top stadium.
MB doesn't have a running track like Talanta, Arusha has a running track.
MB has a retractable roof, Arusha doesn't.
The two are so different it's stupid to compare them. In fact Talanta is closer to Mercedes Benz stadium than Arusha.
 
acha kua mshamba, running track ina shida gan? arent you aware even aman stadium has hosted a CAF final? plus semi and quater finals?
 
Bro, mnajiabisha.
Mercedes Benz stadium is a curved Bowl with a flat top stadium - just like Talanta. Arusha stadium is a curved Bowl with a curved top stadium.
MB doesn't have a running track like Talanta, Arusha has a running track.
MB has a retractable roof, Arusha doesn't.
The two are so different it's stupid to compare them. In fact Talanta is closer to Mercedes Benz stadium than Arusha.
Kuna mtu pembeni nimemuonyesha hii comment ameniuliza kwamba “huyo jamaa ni zuzu.? “. 😂😂😂😂 Mercedes Benz stadium si ndio hii.? 😂😂👇🏾
IMG_7603.jpeg
 
Back
Top Bottom